Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Mpiganaji wa karate wa Kuwait Mohammad al-Otaibi amejiondoa katika mashindano ya 2022 ya Ligi Kuu ya Karate 1 katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan wa Baku ili kuepuka kukabiliana na mshindani wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475729 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04